- 2,167 viewsDuration: 1:00Operesheni ya uokoaji imeingia siku ya nne katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet huku timu za mashirika mbalimbali zikiendelea kuokoa waathiriwa na kutoa misaada ya dharura kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyosababisha maafa katika maeneo ya Bonde la Kerio wiki iliyopita.