4 Nov 2025 1:30 pm | Citizen TV 373 views Duration: 2:10 Mzozo kuhusu umiliki wa ardhi ya takriban ekari elfu mbili mia nane katika eneo la Keekonyokie, Kajiado Magharibi, unaendelea kutokota huku wakazi wakitoa wito kwa serikali kuingilia kati ili kurejesha amani.