Skip to main content
Skip to main content

Jumba la kibiashara la Majimbo Kalasinga lavunjwa

  • | Citizen TV
    997 views
    Duration: 2:01
    Mali ya thamani kubwa imeharibiwa baada ya genge la vijana kuvamia jumba moja la burudani linalomilikiwa na mbunge wa Kabuchai Majimbo Kalasinga eneo la Musese, kisa kinachokisiwa kuhusishwa na siasa za uchaguzi mdogo eneo la Chwele Kabuchai.