4 Nov 2025 1:35 pm | Citizen TV 314 views Duration: 1:45 Muungano wa walimu KNUT tawi la pwani sasa unatishia kwenda mahakamani kuzuia mpango wa serikali wa kuhamisha walimu wote kutoka bima ya matibabu ya MINET, hadi ile ya SHA.