- 359 viewsDuration: 1:45Muungano wa wahudumu wa afya kwa jamii umeirai serikali ya kaunti ya laikipia kuwaajiri wahudumu zaidi ukisema kwamba walioko wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kuwahudumia watu kutoka laikipia na pia kaunti jirani za Meru na Nyeri.