4 Nov 2025 1:50 pm | Citizen TV 330 views Duration: 1:46 Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini (EACC) imepanga kuandaa mafunzo ya jinsi ya kupambana na ufisadi kwa vijana wa vyuo vya ufundi, wafanyabiashara na wahudumu wa bodaboda katika kaunti ya Kwale.