Skip to main content
Skip to main content

Imebainika kuwa wanaume pia wamekuwa wakiugua saratani ya matiti

  • | Citizen TV
    633 views
    Duration: 4:04
    Kwa miaka mingi, saratani ya matiti imekuwa ikihusishwa zaidi na wanawake, hata hivyo , pia wanaume katika maeneo ya mijini na vijijini wanakumbwa na maradhi hayo, ingawa wengi wao wanateseka kimya kimya. Kule Kisii, waathirika waliopona saratani na wanaoendelea na matibabu kutoka kaunti za eneo la Nyanza ya Kusini wameungana ili kuhamasisha umma kuhusu ugonjwa huo