Skip to main content
Skip to main content

Wahadhiri wasisitiza kulipwa 80% ya mishahara

  • | Citizen TV
    2,011 views
    Duration: 2:40
    Muungano wa wahadhiri uasu na ule wa wafanyikazi wa vyuo vikuu vya umma kusu sasa wanasema watarejea tu kazini endapo watalipwa asilimia 80 ya malipo na serikali. Wahadhiri hawa waliogoma kwa siku ya 48 leo wamesema endapo serikali itawapa pesa hizi, basi watasubiri asilimia 20 iliyosalia.