Skip to main content
Skip to main content

Vifo vyafika 34 kwenye maporomoko ya Marakwet

  • | Citizen TV
    1,234 views
    Duration: 1:20
    Idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko ya ardhi elgeiyo marakwet imefikia watu 34. Hii ni baada ya watu wawili kutolewa leo katika eneo hilo la mkasa. Watu zaidi wanahofiwa kuzikwa kwenye taka na tope za mkasa huo huku familia ambazo hazijapata wapendwa wao zikikita kambi kusubiri taarifa kuwahusu. Kwa sasa, serikali inazidi kutoa chakula cha msaada kwa waathiriwa na kuwaondoa wale walio kwenye sehemu hatari.