- 308 viewsDuration: 1:43Miungano ya kutetea maslahi ya walimu wa nchini KUPPET na ule wa walimu wakuu wa shule za sekondari KESSHA sasa wanaitaka idara ya upelelezi DCI na inspekta generali wa polisi kuharakisha mchakato wa uchunguzi kwenye kifo tatanishi cha mwalimu mkuu Simon Isiaho wa shule ya sekondari ya Munyuki iliyoko Lugari. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya