Skip to main content
Skip to main content

Familia moja kutoka Kisii yalilia haki baada ya mtoto wao kudaiwa kudhulumiwa kingono

  • | NTV Video
    209 views
    Duration: 1:54
    Familia moja kutoka kijiji cha Bomokora, kaunti ya Kisii, inataka haki baada ya mtoto wao wa umri wa miaka 6 kudaiwa kudhulumiwa kingono na Harrison Boy, mfungwa wa zamani mwenye umri wa miaka 34. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya