Skip to main content
Skip to main content

Meru: Baadhi ya viongozi wamtetea Kindiki, wasisitiza kuendelea kumuunga mkono 2027

  • | NTV Video
    244 views
    Duration: 1:35
    Baadhi ya viongozi kutoka Kaunti ya Meru sasa wamejitokeza na kusisitiza kuendelea kumuunga mkono Naibu wa Rais Kithure Kindiki hata katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2027 kama mgombea mwenza wake Rais William Ruto. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya