12 Nov 2025 10:44 am | Citizen TV 2,951 views Duration: 1:59 Wafanyakazi zaidi ya 400 wa barabara katika Kaunti ya Pokot Magharibi wamegoma na kufunga barabara ya Kitale kuelekea Kapenguria hadi Lodwar, wakipinga malipo duni na mazingira mabaya ya kazi.