Skip to main content
Skip to main content

Viongozi Trans Nzoia wataka mafuriko kutangazwa kama janga la kitaifa

  • | NTV Video
    94 views
    Duration: 1:33
    Huku mafuriko yakiendelea kuathiri zaidi ya familia 600 katika maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Trans Nzoia, viongozi wa eneo hilo sasa wameitaka serikali kuu kutangaza mafuriko hayo kuwa janga la kitaifa ili kurahisisha utoaji wa msaada wa dharura kwa waathiriwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya