- 67 viewsDuration: 1:06Waziri Julius Ogamba ameutetea mpito kutoka bima ya afya ya Minet hadi ya SHA, akisema ni hatua nzuri na ya wakati muafaka inayolenga kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa walimu kote nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya