- 26,487 viewsDuration: 2:12Mkuu wa masuala ya Haki za Binaadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk ameitaka Serikali ya Tanzania kuchunguza na kuchukua hatua za uwajibikaji juu ya mauwaji yaliyotokea wiki ya uchaguzi Sasa, Kauli hii kutoka Umoja wa Mataifa Ina maana gani? - - #bbcswahili #tanzania #uchaguzimkuu2025 #maandamano #un 14h Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw