14 Nov 2025 10:35 am | Citizen TV 1,483 views Duration: 1:41 Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, ambaye pia ni Naibu Kinara wa chama cha DAP-Kenya, amelalamikia utepetevu katika idara ya polisi pamoja na tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa - NCIC