wakazi Zaidi ya elfu moja wa Kaunti ya Migori wamefaidika na huduma za matibabu bila malipo kwa hisani ya Serikali ya Kaunti. Wakati wa shughuli hiyo, wagonjwa walipata huduma mbalimbali ikiwemo uchunguzi wa magonjwa kama saratani, kifua kikuu, kisukari, virusi vya UKIMWI huku pia ikishirikisha utoaji damu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive