- 2,180 viewsDuration: 1:50Chama cha mawakili nchini (LSK) kimewasilisha ombi kwa inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja kikitaka uchunguzi wa haraka na wa kina kufanywa kuhusu mauaji ya wakili Mathew Kyalo Mbobu, aliyeuawa kwa kupigwa risasi nane siku ya Jumanne.