12 Sep 2025 1:17 pm | Citizen TV 438 views Duration: 2:01 Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu kaunti ya Mombasa yanaitaka serikali kudhibiti hali mbaya ya usalama nchini wanayosema inaathri hata uchumi wa taifa.