- 195 viewsDuration: 5:04Shamrashamra za Radio citizen Na Unga wa Raha premium zimetua mtaani kawangware jijini Nairobi. Watangazaji wa Radio citizen wakijumuika Na wanafunzi was Shule ya BJC ever Academy mtaani humo. Hi Leo chakula cha mchana kikiwa Ni kwa Hisani ya Raha premium watengenezaji wa Unga wa ngano wa Raha premium Na kavagara wa mahindi.