12 Sep 2025 1:40 pm | Citizen TV 274 views Duration: 2:21 Katika Kaunti ya Kajiado, programu ya mafunzo ya ujuzi wa kidigitali inayoendeshwa na serikali imeendelea kuwapa nafasi vijana kujifunza mbinu za kuuza bidhaa na kutoa huduma kupitia mtandao.