12 Sep 2025 1:49 pm | Citizen TV 165 views Duration: 1:27 Gavana wa Narok Patrick Ole Ntuntu ameahidi kuwapa hatimiliki kwa maelfu ya familia wa wadi ya Sagamian Narok Kusini.