Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Mwea wapinga vikali vitisho vya kufurushwa kutoka kwa ardhi ya Makima

  • | NTV Video
    131 views
    Duration: 1:22
    Wakazi wa Mwea katika Kaunti ya Embu wamepinga vikali vitisho vya kufurushwa kutoka kwa ardhi ya Makima, wakidai kuwa vitisho vinatolewa na watu wanaojitambulisha kama wazee wa ukoo wa Ngome kutoka jamii ya Mbeere. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya