- 8,982 viewsDuration: 2:57Watu watatu wamekamatwa na kuhojiwa kuhusiana na mauaji ya wakili Kyalo Mbobu. Watatu hao wanazuiliwa na polisi huku ikiarifiwa kuwa huenda wana taarifa muhimu itakayosaidia kuwatambua waliomuua wakili huyo siku ya Jumanne. Haya yanajiri huku wanasheria nchini wakifanya matembezi ya kushinikiza polisi kuharakisha uchunguzi na kuchukua hatua.