- 793 viewsDuration: 2:27Wakaazi wa eneo la Karimenu walioondolewa kwenye ardhi yao ili kutoa nafasi ya ujenzi wa bwawa wameibua tetesi kuhusu kucheleweshwa kwa fidia. Wakazi hao wanalalamika kuwa miaka sita baada ya mashamba yao kutwaliwa, bado wanasubiri malipo.