Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azidi kukosoa upinzani dhidi ya siasa za mgawanyiko

  • | Citizen TV
    4,798 views
    Duration: 1:18
    Rais William Ruto amewaonya viongozi wa upinzani dhidi ya kueneza siasa za ukabila nchini. Akiwahutubia viongozi wa mashinani kutoka kaunti ya Muranga, rais Ruto amesema serikali yake iko mbioni kutimiza ahadi ilizotoa na kuwa hana muda wa mzozo wa kisiasa na upinzani. Haya ni huku Naibu wake Profesa Kithure Kindiki ambaye alikutana na viongozi na wazee kutoka kaunti ya Tana River akisisitiza kuwa serikali itafanya maendeleo bila ubaguzi.