12 Sep 2025 7:24 pm | Citizen TV 817 views Duration: 1:20 Kampuni ya Royal Media Services kwa ushirikiano na Joy Millers ilitua mtaani Kawangware, jijini Nairobi, kwa shamrashamra za siku tatu, ambapo wakazi walipata fursa ya kutangamana na watangazaji wa Radio Citizen.