Seneta wa Kaunti ya Tana River, Danson Mungatana, amemhimiza kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, kuangazia maendeleo badala ya kuchochea mizozo ya kisiasa nchini. Wakati huohuo, Naibu Gavana wa Machakos, Francis Mwangangi, amewashutumu baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka jamii ya Kamba kwa madai ya kutumiwa na serikali ya Kenya Kwanza kumhujumu kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive