Waziri mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer ametangaza Uingereza itatambua taifa la Palestine, hii ikishiria mabadiliko ya sera ya serikali. Katika kanda ya video kwenye mtandao wa X, waziri huyo amesema hatua hiyo itafufua matumaini ya amani na suluhu ya mataifa yote mawili. Hapa jijini Nairobi, maelfu ya wakenya leo walifanya maandamano ya amani, kuwaunga mkono wapalestina , wakisema wanapitia mateso makubwa chini ya utawala wa Isreal.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive