Familia moja katika wadi ya Riana , eneo bunge la Bonchari , kaunti ya Kisii inafadhaika baada ya kushindwa kumzika mpendwa wao ambaye mwili wake umehifadhiwa katika makafani ya City, kaunti ya Nairobi kwa zaidi ya mwaka moja . Familia hiyo imesema ilifahamishwa na Mzee mmoja kuhusu kifo cha mpendwa wao,ambaye mwili wake umeorodheshwa miongoni mwa ile ya watu wasiojulikana ambao waliogongwa na magari.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive