- 16 viewsDuration: 1:42Watu wawili wameaga dunia baada ya matatu kugonga bodaboda katika eneo la Kenyenya kaunti ya Kisii. Mwendesha bodaboda pamoja na mwanamke aliyeabiri pikipiki hiyo waliaga dunia papohapo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive