Skip to main content
Skip to main content

Wasichana kupata fursa za kujifunza elimu dijitali

  • | KBC Video
    16 views
    Duration: 1:35
    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake, tawi la Kenya, Shirikisho la kimataifa la mawasiliano na Tume ya Jumuiya ya Afrika zimeshirikiana kuwekeza kwenye mradi wa elimu dijitali ya wasichana chini ya vuguvugu la African Girls Can Code. Mpango huo utakaojumuisha mafunzo ya uongozi pia unanuiwa kuleta mageuzi katika jamii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive