Skip to main content
Skip to main content

Ruku atetea ziara zake za maendeleo Mbeere Kaskazini

  • | KBC Video
    19 views
    Duration: 54s
    Waziri wa utumishi wa ummaGeoffrey Ruku ametetea ziara zake za maendeleo katiika eneo la Mbeere Kaskazini kabda ya uchaguzi mdogo ujao. Ruku amekanusha madai kwamba anatumia miradi ya serikali kupigia debe mwaniaji wa chama cha UDA kwenye uchaguzi huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive