Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Vita vya Ukombozi

  • | KBC Video
    10 views
    Duration: 2:59
    Miji mbalimbali nchini China ikiwemo Nanjing na Beijing iliandaa shughuli maalum za kuadhimisha miaka 94 tangu tukio la tarehe 18 mwezi Septemba lililosababisha Vita vya Ukombozi wa Watu wa China dhidi ya uvamizi wa Japani Shughuli hizo zilijumuisha ibada za ukumbusho, tamasha za mashairi na muziki, pamoja na mafunzo kuhusu ulinzi wa taifa na mbinu za kukabiliana na dharura.Taslifu kamili katika Makala ya Ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive