Makubaliano ya kihistoria yameafikiwa baina ya jamii za Rendille, Samburu na Borana kuhusu matumizi ya malisho na maji ya mto Ewaso Ng’iro. Hatua hii inafuatia kiangazi ambacho kimewafanya wafugaji kuhamia eneo la Kom ambako kaunti za Isiolo, Samburu na Marsabit hukutana.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive