Skip to main content
Skip to main content

Nguo zilizochakaa zageuzwa kuwa kitega uchumi

  • | KBC Video
    54 views
    Duration: 1:42
    Chuo cha kifundi cha Kakrao kimeanzisha shughuli ya kusafisha mji wa Migori kama sehemu ya kuadhimisha Mwezi wa Usafi Duniani. Juhudi hizi zinalenga kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kugeuza takataka za nguo kuwa mitindo ya mavazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive