Viongozi wa jamii katika eneo bunge la Ganze, kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kuwajumuisha wazee wanaoishi kwenye msitu wa Godoma kwenye kitengo maalum cha wale watakaonufaika na mpango wa halmashauri ya afya ya jamii, SHA. Wazee hao waliotafuta hifadhi kwenye msitu wa Godoma baada ya kutoroka makwao kufuatia vitisho vya kuangamizwa kwa madai ya kuwa wachawi wanaishi katika mazingira magumu wakiwa hawana usalama, mahitaji ya kimsingi au huduma za afya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive