Kupitia miundombinu ya kisasa, huduma bora na ushirikiano wa forodhani, Bandari ya Tianjin nchni China imejidhihirisha kama kitovu muhimu cha kuunganisha nchi wanachama wa shirika la SCO na masoko ya kimataifa, na kuendelea kudumisha nafasi yake miongoni mwa bandari 10 kubwa zaidi duniani. Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive