Skip to main content
Skip to main content

Chuo Kikuu cha Nairobi chazindua kitengo cha mafunzo ya lugha ya ishara

  • | KBC Video
    116 views
    Duration: 3:05
    Kenya sasa itaweza kushughulikia pengo kubwa lililopo la wataalamu waliohitimu, walio na uwezo wa kutambua na kuwarekebisha watu walio na matatizo ya kusikia na kuzungumza. Hii ni baada ya chuo kikuu cha Nairobi kuanzisha mafunzo maalum ya masuala ya kusikia, mawasiliano, na mbinu za Lugha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive