- 25,338 viewsDuration: 28:10Kesi ya uhaini inayowakabili mamia ya vijana nchini Tanzania imeendelea kusikilizwa hii leo, huku kesi kadhaa zikisikizwa na kuahirishwa kufuatia kutokukamilika kwa uchunguzi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw