- 1,329 viewsDuration: 2:39Baadhi ya wawakilishi wadi kutoka Kisii waliosusia mkutano ulioandaliwa katika Ikulu ya Nairobi wanasema ulikuwa wa Kisiasa na kuwa watamuunga mkono aliyekuwa Waziri wa usalama wa Ndani Dr Fred Matiangi kwenye azma yake ya kuwania urais 2027.