Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Wakenya kuingia kwenye mbuga za wanyama pori bila malipo Jumamosi

  • | KBC Video
    15 views
    Duration: 2:06
    Kampuni za humu nchini zimehimizwa kutumia ujuzi, mitandao na miundombinu yao kuwekeza kwenye biashara chipukizi. Muasisi mwenza wa kampuni ya Viktoria Ventures Stephen Gugu anasema kampuni nyingi za humu nchini huchelea kuwekeza kwenye biashara ambazo hazina umaarufu. Taarifa hii ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive