Skip to main content
Skip to main content

CHADEMA wapinga tume huru ya kuchunguza uchaguzi

  • | BBC Swahili
    33,994 views
    Duration: 2:14
    Chama Kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA wamepinga tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini Tanzania wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan na kutangazwa Novemba 18, 2025 itaongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Mohamed Othman Chande na itakuwa na wajumbe wengine 7 - - #bbcswahili #uchaguzi2025 #siasa #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw