Kenya sasa itaweza kushughulikia pengo kubwa lililopo la wataalamu waliohitimu, walio na uwezo wa kutambua na kuwarekebisha watu walio na matatizo ya kusikia na kuzungumza. Hii ni baada ya chuo kikuu cha Nairobi kuanzisha mafunzo maalum ya masuala ya kusikia, mawasiliano, na mbinu za Lugha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive