Skip to main content
Skip to main content

Hatimaye upanuzi wa barabara ya Nairobi-Nakuru kuanza Novemba

  • | KBC Video
    3,954 views
    Duration: 3:08
    Upanuzi uliosubiriwa kwa hamu wa barabara kuu ya kutoka Nairobi kuelekea Nakuru na Mau Summit utaanza mwezi ujao, hatua inayotarajiwa kukomesha masaibu ya watumizi wa barabara hiyo. Rais Wiliam Ruto anasema barabara hiyo itapanuliwa kuwa ya safu sita kila upande kuanzia Nairobi hadi Naivasha na baadaye kutoka Naivasha hadi jiji la Nakuru. Upanuzi huo kupitia ushirikiano wa sekta ya umma na ile ya binafsi umecheleweshwa tangu mwaka 2012 kutokana na uhaba wa fedha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive