Hali ya kawaida imerejea kwenye hospitali za umma katika Kaunti ya Kiambu baada ya madaktari kurejea kazini, kufuatia kusitishwa kwa mgomo wao wa miezi mitano. Uchunguzi uliofanywa na KBC Channel One katika hospitali ya matibabu maalum ya Kaunti ya Kiambu ulibaini kuwa wagonjwa katika idara mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ile ya kushughulikia wanawake wajawazito, wanahudumiwa na madaktari.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive