Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Bandari ya Tianjin

  • | KBC Video
    11 views
    Duration: 3:06
    Kupitia miundombinu ya kisasa, huduma bora na ushirikiano wa forodhani, Bandari ya Tianjin nchni China imejidhihirisha kama kitovu muhimu cha kuunganisha nchi wanachama wa shirika la SCO na masoko ya kimataifa, na kuendelea kudumisha nafasi yake miongoni mwa bandari 10 kubwa zaidi duniani. Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive