Teknolojia ya akili mnemba imefanikisha mageuzi katika sekta ya elimu nchini China, ikitumika kufundisha, kujifunza, na kutoa mafunzo kwa walimu. Kupitia Mkakati wa Kitaifa wa Elimu ya Kidijitali, China inajenga mfumo endelevu wa kujifunza kwa kutumia AI katika ngazi zote za elimu.Maelezo zaidi katika Makala kuhusu Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive