Miji mbalimbali nchini China ikiwemo Nanjing na Beijing iliandaa shughuli maalum za kuadhimisha miaka 94 tangu tukio la tarehe 18 mwezi Septemba lililosababisha Vita vya Ukombozi wa Watu wa China dhidi ya uvamizi wa Japani Shughuli hizo zilijumuisha ibada za ukumbusho, tamasha za mashairi na muziki, pamoja na mafunzo kuhusu ulinzi wa taifa na mbinu za kukabiliana na dharura.Taslifu kamili katika Makala ya Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive